Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es salaam Edward Mpogoloe amesema kampeni ya ‘Hala Bi Mkubwa” iliyoanzishwa na Mtangazaji Barton Mwemba maarufu Mwijaku itasaidia kunadi kazi nzuri zilizofanywa chini ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika uzinduzi wa Kampeni hiyo, Edward Mpogolo amesema Rais Samia ameyafanya mambo mengi katika Nchi ikiwemo Wilaya ya Ilala ambako amepeleka zaidi ya shilingi bilioni mia tatu kwa ajili ya shughuli za maendeleo "pia kwenye eneo la elimu amefanya makubwa kuna shule za gorofa, nani anayeweza kuwaambia kwamba Mh. Rais amefanya hayo ? niwaombe Viongozi wenzangu huko Mwijaku anakokuja tumpe ushirikiano wa kutosha, tumpe data"
Wameiba sana hela kupitia 10% - 20% za miradi ya Serikali. Sasaivi wanapesa za kumwaga kufanya upuuzi wao wakati wananchi hawana maji na madawa hospitali.

Kunadi kazi nzuri ya. . . .
Kinachonadiwa n kitu kisichojitoaheleza au sijaelewa ile methali inasema
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani kujitembeza ndio kwenda kujinadi huko ila kizuri kinajinadinchenyewe hapo kilipo
Issue hapo ni nani mkali wa kutengeneza madili kati ya ‘babalevo’ na ‘Mwijaku’ hayo mengine hatutaki kusikia.
Inabidi ianzishwe poll ya nani mkali kati ya hawa miamba miwili kwenye uchawa sijui social influencers.
Huko kwenye siasa tushakubali matokeo tumepigwa, Meya na team nzima waliwai safiri na team nzima mara tu baada ya Samia kuapishwa kwenda U.K. kwa sababu za kijinga na kufikia hotel ya 5 star (Marble Arch) London? kwa hivyo atushangai kusifia.
Issue ni nani mkali kati ya machawa tunahitaji poll.