DOKEZO DC wa Morogoro fuatilia Mgogoro wa Ardhi unaoendelea Mtaa wa Ngerengere B Kata ya Mkundi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Shiika

Senior Member
Joined
Aug 29, 2024
Posts
145
Reaction score
203
Salaam kwako Ndg Mussa Kilakala,
DC na M/Kiti kamati ya ulinzi Wilaya ya Morogoro (Mjini naVijijini).

Kuna mgogoro mkubwa wa Ardhi unaendelea ndani ya manispaa yako Mtaa wa Ngerengere B, kata ya Mkundi.

Chanzo cha mgogoro, inasemekana;
Ndg Chacha Kimweri (Mmasai & Mfugaji). Anadai kumiliki hekari 800 ndani ya Manispaa. Madai ya umiliki wake ni toka 1998 wakati huo eneo hilo, likiwa chini ya Kijiji cha Mkono wa Mara. Kwa sasa liko chini ya Manispaa.

Eneo hilo ni pori na halikuendelezwa.
Raia wamenunua sehemu ya eneo hilo na kuliendeleza kutoka serikali ya mtaa kuanzia miaka ya 2010.

Kwa taarifa zilizopo ni kuwa Ndg Chacha Kimweri anafukuza raia na kuwatishia usalama wao.

M/kiti wa Mtaa Bi Mwajuma Mlimbo
Uongozi wa Mtaa & Kata inasemekana wana kigugumizi katika utatuzi wa huo mgogoro.

Tafadhali, fuatilia hilo kuepusha maafa.

Si vizuri kusikia habari mbaya kwenye vyombo vya habari.
 
Moro wavamizi wa ardhi ni wengi sana! Wakiambiwa watoke kwenye maeneo vamizi wanakimbilia kulalamika. Kuna eneo la Serikali maeneo ya Mkundi watu wamevamia! Soon nao watatoa Milio
 
Back
Top Bottom