JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa inayosababisha uingizwaji wa mifugo kinyemela
Ameeleza hali hiyo inatokana na kukithiri kwa Rushwa ambayo pia imesababisha ni uharibifu wa mazingira, akitoa mfano amesema kuna Mtumishi mmoja alitumia cheo cha Mkuu wa Wilaya kuchukua Rushwa
Chanzo: EATV