pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Namtumia popobawa amshikishe adabu na maadili
Tuko Mia TISA tumepewa makazi ya kudumu MagogoniVigagula kama wewe msukumani ni mapanga tu
😆😆😆😆Namtumia popobawa amshikishe adabu na maadili
Hao watoto waliochapwa na watu wote si ndiyo wamekuwa viongozi aina ya Kim Jong, hawana confidence na upinzani umekuwa uadui.Mtoa mada, zamani mtoto alikuwa wa wote, yaani mzazi/mlezi/mtu yeyote alikuwa na uwezo wa kumuadabisha mtoto wa mtu yeyote na mahali popote hata iwe njiani bila kujali ni mtoto wa nani ili mradi kafanya makosa yasiyokubalika, leo wazazi mnaanza stori za eti mtoto wangu achapwe na mtu fulani ila asichapwe na mtu fulani. Nyie ndiyo wazazi mnawafuata walimu kuwahoji kwanini wamewaadhibu watoto wenu. Hii tabia ni ya kukemea, mbali ya kwamba huyo Kiongozi kaamuru watoto wachapwe kwa kutumia cheo chake lakini kwa upande mwingine huyo anaweza kuwa kama mzazi au mlezi. Lakini kwa upande wa pili we mtoa mada unaona ni sahihi watoto kuendelea kuwa watoro? Wakati mwingine wazazi tunaweza kujikuta tunaharibu watoto wetu wenyewe. Mi kama mzazi na mlezi napendezwa sana na mzazi/mlezi kumuadhibu mwanangu mahali popote na wakati wowote pale anapofanya mambo amabayo hayaruhusiwi ikiwa ni pamoja na masuala ya utovu wa nidhamu.
Neno "Wanyonge" Linatumika Ovyo Sana Siku Hizi
Mtoa mada, zamani mtoto alikuwa wa wote, yaani mzazi/mlezi/mtu yeyote alikuwa na uwezo wa kumuadabisha mtoto wa mtu yeyote na mahali popote hata iwe njiani bila kujali ni mtoto wa nani ili mradi kafanya makosa yasiyokubalika, leo wazazi mnaanza stori za eti mtoto wangu achapwe na mtu fulani ila asichapwe na mtu fulani. Nyie ndiyo wazazi mnawafuata walimu kuwahoji kwanini wamewaadhibu watoto wenu. Hii tabia ni ya kukemea, mbali ya kwamba huyo Kiongozi kaamuru watoto wachapwe kwa kutumia cheo chake lakini kwa upande mwingine huyo anaweza kuwa kama mzazi au mlezi. Lakini kwa upande wa pili we mtoa mada unaona ni sahihi watoto kuendelea kuwa watoro? Wakati mwingine wazazi tunaweza kujikuta tunaharibu watoto wetu wenyewe. Mi kama mzazi na mlezi napendezwa sana na mzazi/mlezi kumuadhibu mwanangu mahali popote na wakati wowote pale anapofanya mambo amabayo hayaruhusiwi ikiwa ni pamoja na masuala ya utovu wa nidhamu.