DCEA yakamata kilo 423.54 za skanka, 16 watiwa mbaroni

DCEA yakamata kilo 423.54 za skanka, 16 watiwa mbaroni

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa inayofahamika kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi.

Mbali na dawa hizo za kulevya, mamlaka pia imewakamata watu 16 wanaojihusisha na utengenezaji wa biskuti wakichanganya na skanka.

Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 08, 2023 na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aretas Lymo akiongea na waandishi wa habari
 
Skanka ndio nini, tuanzie hapo kwamza maana sio sisi wote ni wavuta bangi
 
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa inayofahamika kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hind...
Naona Biashara imerudi kwa kasi sana..

Mama sasa anabutua..
 
Back
Top Bottom