Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime anatoa neno kwa wazazi kuwaendea Watoto wao kwenye kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
Mkuu sio kutishana kwa hali ya sasa ukizubaa unaenda forever!Daah! Tanzania niwendo wa kutishana tu.