DCP Secretary General mngemuweka Kabila ingine (si Mkikuyu - Methu)

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Gashagua hauijui siasa ya Kenya vizuri. Ameanguka kabla ya safari. Methu asingekua Secretary General.

Ungetafuta Mluhya, Somali au Jaluo akae hapo kama Symbolic tu
 
The truthful man amebandikwa badge ya ukabila tangu siku anaondolewa madarakani lakini hadi leo yeye bado ndio ana make headlines kwenye siasa, anaelewa anachokifanya, Methu ni mwanajeshi wake namba moja
 
The truthful man amebandikwa badge ya ukabila tangu siku anaondolewa madarakani lakini hadi leo yeye bado ndio ana make headlines kwenye siasa, anaelewa anachokifanya, Methu ni mwanajeshi wake namba moja
Siasa haifaki headlines inataka tactics na strategy. Ndindi Nyoro anakwenda kupunguza ushawishi wa Gashagua central
 
Siasa haifaki headlines inataka tactics na strategy. Ndindi Nyoro anakwenda kupunguza ushawish wa Gashagua central
Kwa tactics zipi alizo nazo ndindi nyoro?? Kwenye siasa za upinzani Kenya kila mtu anamtizama Riggy G. Hata wale wasiompenda wanakubali namna anavyocheza na utawala wa Ruto. Richard Onyonka mwenyewe hamuelewi Riggy G lakini anakiri kumkubali. Irungu Kang’ata na siasa zake za akili kubwa kaamua kumfuata Rigathi hii inabidi ikueleze kitu kuhusu the truthful man Riggy G.
 
Baba wa siasa za Kenya alikua Odinga kwa sasa labda Sifuna. Huyo Riggy G angekua na influence asingefukuzwa Unaibu Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…