Ha ha ha hiyo wa Mujini kila nikiiona huwa nacheka sana maana inanikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa anapenda sana kuitumia na alikuwa anaitamka hivyo hivyo 🙂
Hongera DRC.
Hongereni sana DRC maana jana wamecheza kuliko Brasil wanajiamini sana na wamepiga ball sio la kitoto...vipaji wanavyo sana sana..ingawa nao walivyoingia tu CHAN wakawa wanaogopa Tanzania hahaha wangejua sisi wachezaji wetu bila bhangi hawachezi....