..nashangaa kanda2 na Chuma hawajaleta hoja zao za udini ktk teuzi hizi.
Nina swali wan JF, I thought miaka yote Waziri Mkuu nndie anayeteuwa maDC au nimekosea?
hapana Ma DC wanateuliwa na Rais (wana wajibika kwake moja kwa moja) ila ma DED wanateuliwa na waziri mkuuNina swali wan JF, I thought miaka yote Waziri Mkuu nndie anayeteuwa maDC au nimekosea?
Ni kweli waziri mkuu, wale wa mwanzo waliteuliwa na Lowassa.
Mpoki.
Norman Sigalla alikuwa na PhD ya utatanishi huko nyuma sijui kaacha kuitumia? naona wamesema ni Bw.Norman badala ya DR. kama alivyokuwa akisema.aliipata ndani ya miezi miwili PhD kila mtu alikuwa akishtuka.
kuna wakati Pindi Chana nae alikuwa anasema anasoma PhD Mzumbe wakati muda wote yuko Bungeni.
Wapi Betty Mkwasa, wahabari na ukuu wa wilaya, kazi ipo!