kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa kipindi cha miaka mi5 De Gea amekuwa katika Kiwango cha Juu sana kiasi pasipo ubora wake Man Utd isingeweza kumaliza katika nafasi 6 za juu. Lakini msimu huu amekuwa katika kiwango cha kusuasua sana na kupelekea United kufungwa magoli mengi yanayotokana na makosa yake. #GGMU