kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
Maneno ya Poul ndio umeyaleta hukuNi ukweli usiopingika kuwa kwa kipindi cha miaka mi5 De Gea amekuwa katika Kiwango cha Juu sana kiasi pasipo ubora wake Man Utd isingeweza kumaliza katika nafasi 6 za juu. Lakini msimu huu amekuwa katika kiwango cha kusuasua sana na kupelekea United kufungwa magoli mengi yanayotokana na makosa yake. #GGMU
De Gea hasn't been the same since the World Cup. Ronaldo really gave him PTSDNi ukweli usiopingika kuwa kwa kipindi cha miaka mi5 De Gea amekuwa katika Kiwango cha Juu sana kiasi pasipo ubora wake Man Utd isingeweza kumaliza katika nafasi 6 za juu. Lakini msimu huu amekuwa katika kiwango cha kusuasua sana na kupelekea United kufungwa magoli mengi yanayotokana na makosa yake. #GGMU
Na hii ndio tabu ya DE GEA kucheza kiwango cha juu Karibu kila mechi.Kusema ukweli, David De Gea ametusaidia sana Manchester United kwa miaka mingi sasa, na ni moja ya Goalkeepers bora kabisa kuwahi kutokea Manchester United.
Sema mechi kama nne au tano hivi zilizopita anacheza chini ya kiwango, pamoja na kuwa Kikosi kizima hakiko vizuri.
Tumeshazoea kumuona akiwa katika ubora wake hata kama wenzake hawako vizuri. Ndio maana tunashangaa.
With due respect...Na hii ndio tabu ya DE GEA kucheza kiwango cha juu Karibu kila mechi.
Huwezi kusikia A.YOUNG anaandaliwa POST humu.
Gea the best bhana , game 3+ zisifanye tumtukane kama hatumjui bhana
Degea mbovu acha kupamba mavi mauaNo degea yuko vzr sema nn timu mbovu
Ni kweli kashuka sana kiwango, De gea anataka kuongezwa hela na tena hela nyingi....
Kingine De gea anatakiwa na PSG hivyo akili yake inashindwa kutulia, ingekua enzi za fergie angeitwa na kuulizwa una tatizo gani? Mechi inayofuata De gea angekua man of the match