Leo pata darsa dogo ujifunze uichokuwa hukielewi. JF ni shule isiyokuwa na kuta nne, kuna mengi ya nyinyi vijana kujifunza:
All living things can be divided into two main groups: the Animal Kingdom and the Plant Kingdom. There are many different kinds of creatures in the Animal Kingdom, and there is a scientific system for grouping animals into smaller and smaller groups that are more and more similar.
Source: What is an insect?
Actually there are 3 kingdoms plant,animal and fungi...neither an animal nor a plantLeo pata darsa dogo ujifunze ulichokuwa hukielewi. JF ni shule isiyokuwa na kuta nne, kuna mengi ya nyinyi vijana kujifunza:
All living things can be divided into two main groups: the Animal Kingdom and the Plant Kingdom. There are many different kinds of creatures in the Animal Kingdom, and there is a scientific system for grouping animals into smaller and smaller groups that are more and more similar.
Source: What is an insect?
Ahahahah..We jamaa lichokozi ile mbaya.Kitimoto is the most sweetest animal in the world hata huku kusini tunatumia saaana.Mbona yule cdm sijamuona kwenye list!
Yule anaepatikana kule kaskazini!
Actually there are 3 kingdoms plant,animal and fungi...neither an animal nor a plant
Sio kweli, sie dini yetu inasistiza sana elimu dunia, na ndio niliyoipata, Tatizo lenu hamjui na hamtaki kujua kwamba hamjui, hizo source za uchochoroni nani anaziamini, kuna uhusiano upi kati ya mdudu na mnyama? Au hata upumbavu ukiandikwa kwa kingereza mnauona bonge la point? Achana na madrasa rudi shule ukasome mburula we!!Duh, umefata source lakini na ukaisoma? halafu umesoma kichwa cha habari?
All insects fall under the Kingdom Animalia.
Tatizo lako ni shule tu kijana, sijui ulienda kufundishwa ujinga?
A mosquito is an insect, and insects are considered animals, so yes, a mosquito is an animal.
We dø not consider animals in taxonomy- we classify them
Sio kweli, sie dini yetu inasistiza sana elimu dunia, na ndio niliyoipata, Tatizo lenu hamjui na hamtaki kujua kwamba hamjui, hizo source za uchochoroni nani anaziamini, kuna uhusiano upi kati ya mdudu na mnyama? Au hata upumbavu ukiandikwa kwa kingereza mnauona bonge la point? Achana na madrasa rudi shule ukasome mburula we!!
kimatumizi inawezekana mkuu,
tena inawezekana kabisa.
sema tatizo letu temesticky kwenye tafsiri za moja kwa moja,
mbona mimi nilielewa kabisa?
ongezea na hii ya lukosi hapa..
Ahsante kwa kutoa darsa zuri kabisa, wengi hawaelewi kuwa tuna fall kwenye kingdom mbili, "Animal Kingdom" na "Plants Kingdom", Ukimwambia hata yeye ni animal, atakubishia.
Wengi wa namna hiyo ni watoro wa shule na wavivu wa kujisomea.
Mimi nilikua naogopa nyoka zaidi. kuuuumbeh
Kingdoms ziko 5 mkuu. Animal,Plants,Fungi,Monera na Protista.
Hii ni Biology 101 ya form 1.
Google classification of living things.
Na kuna ya sita ambayo badi scientists wana debate wether kuiweka au hapana.
.
hebu jaribuni kutulia kuna watoto wa mama ndalichako wanapita humu watawadhalau watu wazima... Na wamechambua CLASSIFICATION mwisho level ya CLASS
.
upo sahihi ila FaizaFoxy ndiye sahihi zaidi...
.
kingdoms zipo mbili ila ili kutowachanganya watu na wasomi wakazigawa ziwe tano.. Ndo mana main branches of biology zipo mbili ZOOLOGY na BOTANY yaani WANYAMA na MIMEA ndipo zinapokuja hzo PLANTS and ANIMAL KINGDOM..... ila hao akina FUNGI, MONERA, PROTISTA... wamemeguliwa humo..... Ila mpaka sasa VIRUS ndie anae wachanganya Na hayumo ktk kingdom yeyote mana ana exist ktk LIVING na NON living na hawezi ku reproduce out side the HOST...... Mi naona ni baada ya wazungu kukaa na kuuleta UKIMWI ila ingekuwa enzi za kina MENDEL wangeisha m classify ila saizi hawa jamaa wamelala mno na walaaniwe WAZUNGU woote...
.Hehehe aisee!Naomba source zaidi ya wewe mkuu!Kwaio wewe unasema ziko 2 ila kuepuka confusion wameamua kufanya 5! Hahahaha! Sasa nashindwa hata kuanza kuelezana na wewe, kwahio tuseme mkuu c++ una authority zaidi ya hao ma biologist walioamua kuzifanya 5!?Halaf sababu ya kuwepo 2 unasema ndio maana kuna branches 2 za biology. Hehehe.Umesoma biology mpaka kiwango gani mkuu?