Deadliest Roads: Tanzania Edition

Hawa watu wanamaisha mazuri kuliko wakenya ,vyakula vingi ubovu WA barabara ni kawaida hasa maeneo ya vijijini
Na hicho ni kipindi cha mvua
Ukiachia changamoto za mvua unaweza kuona hali zao za maisha kwa ujumla ni nzuri kabisa na aina ya usafiri ni mzuri kabisa

Angalia kasheshe ya hizi mbuzi 😂😂😂

Hivi hii ni mifugo au binadamu?
 
Are you aware that Tanzania only has 9000 km of paved roads and out of those 9000 km, 75% of it is in poor condition
A new Documentary kuwafungua watu macho kuihusu Tanzania ya Magufuli. I hope they will do something on it.

 
Are you aware that Tanzania only has 9000 km of paved roads and out of those 9000 km, 75% of it is in poor condition
We mpumbavu kweli, umeona jinsi maisha yao yalivyo bora, kuanzia chakula, amount of pocket money they have, house conditions, dressing, varieties of food na hapo ni Kigoma moja kati ya mikoa maskini Tanzania, many Nairobi residents cannot afford that lifestyle
 
Are you aware that 50% of tanzanians are extremely poor.? Are you aware that 75% of Tanzanian roads are in poor condition?
 
Hakuna kujificha hapa unless hapo sio Tanzania. Hii mambo hii toeni kwenye akili mambo ya kuweka gubu tuuu na kupenda uwongo Tanzania mpya hataki wanafiki nyeupe ni nyeupe, njano ni njano sio vinginevyo
Huyu dereva si wangemficha tu identity. Si atawindwa kwa kusaidia beberu kuchafua Tz!
 

hizi kweli ni mbegu,ni bora hata mbegu hutunzwa[emoji23][emoji23][emoji23].

yaani kenya kila mtu anafanya anachojisikia,uhuru wa manyani.

probox inabeba watu,huku ukutwe umerundika watu namna hiyo kwenye gari,utajua umefika town sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…