Deadline ya uhamisho wa Disemba mkoani ni lini?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Ndugu wana JF. Napenda kufahamishwa mwisho wa kupeleka barua za kubadilishana vituo mkoani kwa uhamisho wa walimu mwezi wa Disemba ni lini?
 
Ndugu wana JF. Napenda kufahamishwa mwisho wa kupeleka barua za kubadilishana vituo mkoani kwa uhamisho wa walimu mwezi wa Disemba ni lini?

tarehe 15 mdio mwisho wa kupokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…