UGARI MAHARAGE
Member
- Sep 10, 2014
- 20
- 0
hivi mwisho wa transfer za tcu ni lini??????????????
Ukilipia leo huwez pata transfer1st batch (zilizotoka tar21)mwisho mwisho wa kulipia ilikuwa tar22. na 2nd batch(zilizotoka tar22)mwisho wa kulipia ilikuwa jana tar23.
Jamani third bath mbona imetoka jmosi ila sidhani kama kutakua na bath nyingine
Bath???
Typng error mkuu ni batch sorryhaha mkuu