Deal Done: Feisal mambo safi

Deal Done: Feisal mambo safi

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗑𝗔 π—™π—˜π—œπ—¦π—”π—Ÿ π—¦π—”π—Ÿπ—¨π— π—¨ 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗒 π—¦π—”π—™π—œ

Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu kwenda kwa Klabu ya Azam Fc kwa dau la Tshs 270.4M kiasi ambacho Yanga sc walikiomba Kutoka kwa Azam Fc kununua mkataba wake Kwenye mazungumzo yao hapo jana.

Awali hapo jana Azam Fc walifikia dau la 160M lakini Yanga waliligomea dau hilo na kuwalazimu klabu ya Azam Fc kurudi tena na ofa yao leo ya pili.Yanga itapokea kiasi cha 150M mwishoni mwa mwezi huu Kama ada ya awali ya usajili Kutoka kwa Azam fc na baadae Azam Fc watamalizia kiasi kilichobaki cha 120.4M katikati ya mwezi wa 7 mwaka huu.

Kwenye dili hili hakuna makubaliano yoyote Kati ya Yanga na Azam Fc ambalo litamuhusisha Kiungo Akaminko Kama sehemu ya dili hili Kama Yanga walivyotaka kumjumuisha Kiungo Akaminko.Hivyo ni rasmi muda wowote kuanzia sasa Yanga itatoa taarifa kwa Umma juu ya taarifa rasmi ya kuachana na Feisal Salamu.

Kinachoendelea kwa sasa ni makubaliano ya kimkataba Kati ya Uongozi wa Yanga na Uongozi wa Azam Fc pamoja na menejimenti ya Feisal salumu juu ya malipo ya ada ya usajili.Mara tu baada ya kumalizika kwa makubaliano aya Feisal salumu atakuwa huru kujiunga na Azam Fc.

Kila la kheri Feisal salumu.
 
Michezo ya kizanzibari kuanzia ikulu, chamazi mpaka unguja. Hii ndiyo awamu ya sita
 
Yamebana weeh yameachia,mama kapiga shuti moja golini , injinia msomali chalii🀣🀣chezea kurudi Somalia wewe, Tanzania kuzuri asikwambie mtu.
Ohhh dogo tutamharibia maisha,kiko wapi Sasa? Utopolo hoyeee🀣
 
Yanga wamepita mule mule kwenye mkeka nilioleta juzi. Hapo sikuweka zile tiketi zilizokuwa zinanunuliwa kwa hiyo Yanga bado mna deni, chungeni mnaweza mpoteza na Mayele muda wowote.

Gharama za Algeria na kurudi = 200,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 30,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 20,000,000
+
Goli la Fainali kwa Mkapa = 20,000,000

Jumla = 270,000,000

Gharama za kumuachia Feisal Salum = 270,000,000
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wenye akili ni....
 
π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗑𝗔 π—™π—˜π—œπ—¦π—”π—Ÿ π—¦π—”π—Ÿπ—¨π— π—¨ 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗒 π—¦π—”π—™π—œ

Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu kwenda kwa Klabu ya Azam Fc kwa dau la Tshs 270.4M kiasi ambacho Yanga sc walikiomba Kutoka kwa Azam Fc kununua mkataba wake Kwenye mazungumzo yao hapo jana.

Awali hapo jana Azam Fc walifikia dau la 160M lakini Yanga waliligomea dau hilo na kuwalazimu klabu ya Azam Fc kurudi tena na ofa yao leo ya pili.Yanga itapokea kiasi cha 150M mwishoni mwa mwezi huu Kama ada ya awali ya usajili Kutoka kwa Azam fc na baadae Azam Fc watamalizia kiasi kilichobaki cha 120.4M katikati ya mwezi wa 7 mwaka huu.

Kwenye dili hili hakuna makubaliano yoyote Kati ya Yanga na Azam Fc ambalo litamuhusisha Kiungo Akaminko Kama sehemu ya dili hili Kama Yanga walivyotaka kumjumuisha Kiungo Akaminko.Hivyo ni rasmi muda wowote kuanzia sasa Yanga itatoa taarifa kwa Umma juu ya taarifa rasmi ya kuachana na Feisal Salamu.

Kinachoendelea kwa sasa ni makubaliano ya kimkataba Kati ya Uongozi wa Yanga na Uongozi wa Azam Fc pamoja na menejimenti ya Feisal salumu juu ya malipo ya ada ya usajili.Mara tu baada ya kumalizika kwa makubaliano aya Feisal salumu atakuwa huru kujiunga na Azam Fc.

Kila la kheri Feisal salumu.
Sasa hao Azam walishindwa nini kufuata utaratibu wa aina hii tangu mwanzo, na badala yake wakachagua kutumia ile njia ya kihuni?
 
yuko busy kuwatetea wale wa zanzibar, wa bara watulie na hali ngumu zao...kauli chonganishi hii 😎
 
Yamebana weeh yameachia,mama kapiga shuti moja golini , injinia msomali chalii🀣🀣chezea kurudi Somalia wewe, Tanzania kuzuri asikwambie mtu.
Ohhh dogo tutamharibia maisha,kiko wapi Sasa? Utopolo hoyeee🀣
Lini hersi saidi aliongea anataka kumuharibia dogo maisha? Hivi wakati ule wa mgogoro wa singano na simba ulikuwa bado shahawa?
 
Back
Top Bottom