Bayern Munich wamekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji kutoka Barcelona philipe coutinho kwa mkopo wa mwaka mmoja...
Bayern wamelipa Euro million 8.5 kwenye Dili hilo la mkopo pamoja na mshahara wa mwenzio huyo .
pia wana kipengele cha kumnunua jumla mwishoni mwa msimu kwa dau la Euro million 120..
Messi injured
Suarez injured
Dembele injured..
Kazi ipo kwa barca sasa!