Deal done, Yanick Bangala ni muoka mikate wa Chamazi

Deal done, Yanick Bangala ni muoka mikate wa Chamazi

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Hatimaye Bangala atua mikono ndani ya Viunga vya Chamazi Complex, matajiri hawa wameamua kweli kweli. Tutarajie makubwa ligi ya Msimu huu na kimataifa.
158f4481928041c99a06ae3c12a19fea_357777815_18374995897052678_519760326220984923_n.jpg
 
Bangala atawasaidia Azam, ila kwasasa Yanga ilihitaji mchezaji mzuri zaidi yake.
Aliondoka Mukoko akiwa MVP,akaondoka Feisal na sasa ameondoka Bangala kama MVP lakini taabu iko palepale.
 
Nimeumia sana Simba kumkosa Bangala.


VIONGOZI WA Simba mnatuangusha mno tunaojua mpira.

KIKOSI chenu hakitoshi kabisa kushindana.

CAFCL.
SUPER LEAGUE.
 
All the best Bangala!
Kuondoka kwake ni faida kubwa kwa mabeki wazawa Yanga wanaocheza pia Taifa Stars. Kuna muda Bangala alikamata mkoba kisawasawa ikawa Nondo Le Kapiteni hatihati kutua kwa mkopo Lipuli au Sahare Big Stars! Benchi lilipata joto lake la kutosha!

Yanga ni timu Kali kwa Sasa inacheza kitimu mpira wa Kasi wenye njaa ya ushindi hata Mimi nikienda na kitambi changu naziba pengo lake fasta tu kama tulivyomsahau Feisal!
 
Hahahaha, nimeona tetesi humu Azam wana aachana na Issa Ndala, na sasa naona hii ya Bangala ,sijajua scout yao ikoje ila tusibiri tuone
 
Back
Top Bottom