Mafao yanatolewa kwa kutimiza miaka 55 ya kufanya kazi na sio miaka ya kuzaliwa.
Kama Lulu anaweza kupandisha umri aau kushusha wakati wowote kulingana na shida aliyonayo na kwa msaada wa wanasheria au loopholes zilizopo kwenye mamlaka zetu why not me!Unaapa uwongo aise
Hapo deal wanasheria wamepata deal la kutengeneza affidavit za kuwarukisha watu miaka
Inatakiwa kuonekana tuu nimefikisha miaka hamsini na tano hata kama naonekana nina miaka ishirini vile
Lokisa hii sheria bila miongozo kwa umma ni shida kueleweka
vitmbulisho vyenyewe wangekuwa wanpewa wabongo kweli lakini wanapewa migrants kibao...hizo travelling passport kwa mtz ni issue kuwa nayoWe can not solve the probleam of this country kwa kutoa vitambulisho vya uraia, kuna mambo mengi sana ya msingi kama kununua x-ray machine kwa vituo vya afya kwa hilo fungu la vitambulisho...binafsi naona ni ulaji mwingine kwa wakubwa...
Huyu mkuu nadhani ana uwezo wa kuishi miaka 150
Mafao yanatolewa kwa kutimiza miaka 55 ya kufanya kazi na sio miaka ya kuzaliwa.