Msisitizo hapo!tuwee price list
nahitaji nook tablet...how much can it cost?
Zinatengenezwa huko, lakini ni maalum kwa soko la America.kwani hizo hazitengenezwi uchina?
Zinatengenezwa huko, lakini ni maalum kwa soko la America.
kwani hizo hazitengenezwi uchina?
Kama we ni mtaalam wa haya mambo usijifanye hujui kuwa Mafriji na Electronics zote za mtumba na mpya unazotumia Bongo zinatoka Japan ambako inatumika µ-law algorithm.Duhh tena za huko Life span yake ndogo kuliko za soko la kwetu huku. Halafu na mambo Mu-law na A-law algorithms , halafu voltage tena 110 na 220 halafu Hertz 60 na 50. Inabidi mtu kuwa careful kidogo zinaweza zika perform chini ya kiwango. Na suggest watu wanunue zile zinazoletwa kwa ajili ya masoko yetu na mawakala wa makampuni makubwa wako hapa hapa. Simtilii kauzibe muuzaji ila natoa ushauri wa kitaalam.
Duhh tena za huko Life span yake ndogo kuliko za soko la kwetu huku. Halafu na mambo Mu-law na A-law algorithms , halafu voltage tena 110 na 220 halafu Hertz 60 na 50. Inabidi mtu kuwa careful kidogo zinaweza zika perform chini ya kiwango. Na suggest watu wanunue zile zinazoletwa kwa ajili ya masoko yetu na mawakala wa makampuni makubwa wako hapa hapa. Simtilii kauzibe muuzaji ila natoa ushauri wa kitaalam.
kwani hizo hazitengenezwi uchina?
Hata kama zinatengenezwa uchina lakini zipo tofauti. Kiwango cha bidhaa zinazotoka uchina kwenda marekani huwezi fananisha na zinazotoka uchina na kuja huko Africa.
Hizo brand names ulizosema zote hutengeza bidhaa za ubora huohuo labda useme iwe "fake" lakini kwa mfano HP utayoinunuwa US na hapa kwetu ubora utakuwa uleule na warranty ileile mapungufu utayapata kwenye performance kwa baadhi ya sababu nilizozitaja huko juu, hata power plugs inabidi uzibadili au utumie travellers chargers. Kwa muono wangu na uzoefu wangu wa hivi vitu, kama unanunuwa kompyuta mpya ni bora uinunue hapa hapa kwenye soko lako kutoka kwa mawakala wa hizo brands na si za kutoka US.
Kama ni used, hapo ni habari zingine kabisa. Utanunuwa za kutoka huko kwa kufata unafuu wa bei lakini si kwa ubora.
Swali gani sasa hili? Ndio zinaweza kuwa zinatengenezwa China lakini elewa bidhaa inayoenda N.America sio bidhaa inayoenda Europe au Africa au the rest of Asia. Bidhaa zinazokwenda N.America(USA n Canada) toka China zina ubora wa juu zaidi kulinganisha na bidhaa zinazokwenda Europe, Africa,Middle East etc.kwani hizo hazitengenezwi uchina?