Wakuu,
Kuna tangazo mtakuwa mshaliona kwa juu... Wateja wa Zain mtakapoongeza salio tarehe 15 Novemba (Jumatatu) kuanzia sh. 500/= na kuendelea utajipatia 20% ya ziada siku hiyo tu.
Kwakuwa ni offer ya siku moja tumeonelea ni vema tuwafahamishe mapema ili nanyi msambaze ujumbe kwa Zain Clients.
Maswali mengine SIWEZI KUYAJIBU! ha ha ha