Si utani Davido anajuta kuwafahamu Sony!
Hilo ndio fundisho kwa wasanii wengine, wajiulize kwa nini wenzao wanaoshine zaidi yao hawataki kusaini na haya makampuni ya ulaya.. Haya makampuni ni opportunists na dizaini flani wanyonyaji! Kwa Africa hawawezi muziki wetu afadhali tu mtu ukomae na kina Mobenga na kina Babu Tale..
vilio vimeshanza,ila huyu wetu atalilia ndani ili hasionekane chizi maana watu walisha mtaadharisha mapema.Kweli mkuu member humu walilipeleka ki team zaid sasa wataona huo mfano kwa davido
Eeh wiz kid nae alitaka ku sign sony last week naona yeye na meneja wake sunday km wamesita kwanza sijui washastuka au mazugumzo yanaendeleaSi utani Davido anajuta kuwafahamu Sony!
Hilo ndio fundisho kwa wasanii wengine, wajiulize kwa nini wenzao wanaoshine zaidi yao hawataki kusaini na haya makampuni ya ulaya.. Haya makampuni ni opportunists na dizaini flani wanyonyaji! Kwa Africa hawawezi muziki wetu afadhali tu mtu ukomae na kina Mobenga na kina Babu Tale..
Uuuuuuuwiii eeeehh Mungu eka mkono hilo tukio lisitokee kabisaaaa. Wizkid bado tunakupenda [emoji22] [emoji120] [emoji120]Eeh wiz kid nae alitaka ku sign sony last week naona yeye na meneja wake sunday km wamesita kwanza sijui washastuka au mazugumzo yanaendelea
Word!vilio vimeshanza,ila huyu wetu atalilia ndani ili hasionekane chizi maana watu walisha mtaadharisha mapema.
Eeh wiz kid nae alitaka ku sign sony last week naona yeye na meneja wake sunday km wamesita kwanza sijui washastuka au mazugumzo yanaendelea
Mwenyezi Mungu aepushilie mbali.!! Bado tunakihitaji hiki kichwa.. Nitaumia sana kikipotea..Uuuuuuuwiii eeeehh Mungu eka mkono hilo tukio lisitokee kabisaaaa. Wizkid bado tunakupenda [emoji22] [emoji120] [emoji120]