No body knows.[emoji301]Nadhani haikuwa busara kuwa na haraka ya kuuponda mkataba wa mtu kabla hujauona au kabla hujaona utekelezwaji wake.
Inawezekana wengi hawajui namna Sony Music inavyofanya kazi kwa wasanii, yenyewe pamoja na mambo mengine inashughulika zaidi na market ya product ya msanii.
Kila msanii aliye chini ya Sony Music anabaki na Management yake ya msingi pamoja na wao, kwa maana Alikiba kuendelea na Rocstar4000 huku akiwa na Sony Music.
Kama alivyo Drake aliye kwenye Sony Music lakini bado yuko na Management yake ya msingi ambayo ni Young Money.
Kingine ambacho nadhani wengi hawakuwa wakikifahamu ni kwamba Sony Music ina mikataba ya aina kadhaa, kulingana na uwezo wa msanii husika.
Ndio maana kila mkataba wanaosaini na msanii huwa ukitajwa jina lake kabisa, kwa hiyo unaweza kufuatilia wasanii hao na utaona tofauti hiyo.
Kuna mkataba ambao wao huwa hawajikiti sana katika maandalizi ya product na kubaki katika kutafutia soko kubwa zaidi product hiyo.
Na kuna mkataba wa pili wa kushiriki kuanzia maandalizi ya product ya msanii hadi kwenye kutafutia masoko.
Alikiba na AKA (Aliyeimba na Nassib) wote wako chini ya Sony Music ila mikataba yao inatofutiana, mkataba wa Alikiba unafanana kila kitu na mkataba wa Davido.
Ni mkataba unaoanzia katika maandalizi ya product ili kuipa thamani zaidi, pia kuwaunganisha wasanii wa label yao kufanya kazi za pamoja (collabo).
Katika hafla iliyofanyika February (kama sikosei) mwaka huu mjini Lagos wakati wa uzinduzi wa ofisi za Sony Music za Lagos, bosi wa Sony Music alisema kwa sasa wanajikita zaidi kwa soko na product za Afrika.
Na ndio maana hata hafla ya Alikiba kusaini nao mkataba kuwa kubwa sana na kuoneshwa live Africa nzima kwenye runinga na mtandaoni.
Naona hapa umetolewa mfano kwa kutaja wanamuziki wachache wenye mkataba na Sonny Music ambao kwa sasa wamefifia.
Lakini nashangaa haikusemwa kama karibu wasanii wote waliotajwa hapa waliyumba baada ya kuharibika kwa uhusiano wao na management zao za msingi.
Kama tatizo la Nakaaya lingekuwa ni Sony Music, basi tungekuwa tukimsikia hata hapa nchini. Ina maana hamjui kama tatizo la Nakaaya lilisababishwa na mgogoro wake wa mapenzi na bosi wa TBL?
Au kama ilivyo Destiny's Child ambao wako Sony Music lakini wamefifia baada ya kuyumba kwa management yao ya msingi iliyokuwa chini ya Mzee Knowles.
Ieleweke kwamba Sony Music ndio label kubwa kabisa ulimwenguni, ina wasanii toka mabara yote ulimwenguni na imetoa mafanikio makubwa kwa wasanii mbalimbali.
Na isidhaniwe kwamba kila msanii anaweza kuchukuliwa tu na label hii na kusimamiwa, wanaangalia uwezo ili kulinda hadhi ya Sony Music.
Kwa maana hiyo Alikiba aliiridhisha Sony Music kwa kipaji na uwezo wakena kumchukua na kuwekeza kwake.
Ieleweke, kila label kubwa haichukui msanii ovyo na kumpa mkataba mkubwa hadi ijiridhishe na uwezo wake, coz kuna hela nyingi zitawekezwa kwa ajili yake, iwepo imani ya pesa kurudi.
Hivi ni nani anajua maendeleo ya ile deal ya Diamond na Rais wa zamani wa Def Jam? Ambaye aliunganishwa na JK mwaka juzi akiwa Marekani.
Miaka miwili sasa imepita sasa tangu wakutanishwe na bado mkataba haujasainiwa, maana yake bado kuna kazi ya kujiridhisha kama kuwekeza kwake kutaleta faida au lah? Hakuna kubebana katika label kubwa.
Kila mtu anayejua music kama shabiki wa kweli, anajua umuhimu wa kuwa na label itakayoshughulikia soko la nje ya maeneo unayoishia msanii husika.
Na ndio maana hata Diamond amesaini mkataba na Upfront & Personal ya Nigeria ambayo licha ya kutokuwa worldwide lakini sihaba endapo itamsaidia kupenya Nigeria.
Hata Chadema licha ya uimara wao katika siasa za upinzani, lakini walimchukua Lowassa aliyesaidia wafike ambako awali hawakuweza kufika na wakaichukua Arusha na Dar es Salaam kwa kishindo.
Watanzania tujifunze kuwapongeza wenzetu waliopata mambo mazuri, huu ujanja ujanja wa kukwepa kutoa pongezi na kuanza kupotosha mambo hakusaidii wala kumnyima aliyepata.
Ina nadhani kama wengi wetu tungepata muda wa kutazama live ile hafla na kusikia wahusika wa Sony walivyoongea kusingekuwa na upotoshaji huu.
Kupitia mkataba huu Alikiba atapata mambo mengi makubwa na mazuri.
Hongera Alikiba, Mungu anakupenda sana.
Ova
Kasaini na TomatoHivi dimond nae kasign na nani?
Hiyo nimeiona nyingine ni ipi?Kasaini na Tomato
Wewe huna lolote wivu tu unakusumbua yeye hata kama akisaini uo mkataba na asipate chochote Yale n maisha yake na management yake nzima ilipokaa na kuona kuna faida flani wataipata Mara watu wanasema Mara nini yaaan binadam sisi ukikaa kuendekeza maneno uwez kufanikiwa cjui tukojeHongera, wewe ni zaidi ya manyaunyau! Mpaka mshahara wangu unaujua..!!?
Alafu hatuongelei mishahara hapa, nimejaribu tu kupoint out mistakes ambazo naziona zinajirudia kwa wasanii wetu! Kama uko too blinded to see hiyo juu yako..
Mkuu ingeruhusiwa kutoa like nyingi ningekupa zote umenena jambo zuli sanaNadhani haikuwa busara kuwa na haraka ya kuuponda mkataba wa mtu kabla hujauona au kabla hujaona utekelezwaji wake.
Inawezekana wengi hawajui namna Sony Music inavyofanya kazi kwa wasanii, yenyewe pamoja na mambo mengine inashughulika zaidi na market ya product ya msanii.
Kila msanii aliye chini ya Sony Music anabaki na Management yake ya msingi pamoja na wao, kwa maana Alikiba kuendelea na Rocstar4000 huku akiwa na Sony Music.
Kama alivyo Drake aliye kwenye Sony Music lakini bado yuko na Management yake ya msingi ambayo ni Young Money.
Kingine ambacho nadhani wengi hawakuwa wakikifahamu ni kwamba Sony Music ina mikataba ya aina kadhaa, kulingana na uwezo wa msanii husika.
Ndio maana kila mkataba wanaosaini na msanii huwa ukitajwa jina lake kabisa, kwa hiyo unaweza kufuatilia wasanii hao na utaona tofauti hiyo.
Kuna mkataba ambao wao huwa hawajikiti sana katika maandalizi ya product na kubaki katika kutafutia soko kubwa zaidi product hiyo.
Na kuna mkataba wa pili wa kushiriki kuanzia maandalizi ya product ya msanii hadi kwenye kutafutia masoko.
Alikiba na AKA (Aliyeimba na Nassib) wote wako chini ya Sony Music ila mikataba yao inatofutiana, mkataba wa Alikiba unafanana kila kitu na mkataba wa Davido.
Ni mkataba unaoanzia katika maandalizi ya product ili kuipa thamani zaidi, pia kuwaunganisha wasanii wa label yao kufanya kazi za pamoja (collabo).
Katika hafla iliyofanyika February (kama sikosei) mwaka huu mjini Lagos wakati wa uzinduzi wa ofisi za Sony Music za Lagos, bosi wa Sony Music alisema kwa sasa wanajikita zaidi kwa soko na product za Afrika.
Na ndio maana hata hafla ya Alikiba kusaini nao mkataba kuwa kubwa sana na kuoneshwa live Africa nzima kwenye runinga na mtandaoni.
Naona hapa umetolewa mfano kwa kutaja wanamuziki wachache wenye mkataba na Sonny Music ambao kwa sasa wamefifia.
Lakini nashangaa haikusemwa kama karibu wasanii wote waliotajwa hapa waliyumba baada ya kuharibika kwa uhusiano wao na management zao za msingi.
Kama tatizo la Nakaaya lingekuwa ni Sony Music, basi tungekuwa tukimsikia hata hapa nchini. Ina maana hamjui kama tatizo la Nakaaya lilisababishwa na mgogoro wake wa mapenzi na bosi wa TBL?
Au kama ilivyo Destiny's Child ambao wako Sony Music lakini wamefifia baada ya kuyumba kwa management yao ya msingi iliyokuwa chini ya Mzee Knowles.
Ieleweke kwamba Sony Music ndio label kubwa kabisa ulimwenguni, ina wasanii toka mabara yote ulimwenguni na imetoa mafanikio makubwa kwa wasanii mbalimbali.
Na isidhaniwe kwamba kila msanii anaweza kuchukuliwa tu na label hii na kusimamiwa, wanaangalia uwezo ili kulinda hadhi ya Sony Music.
Kwa maana hiyo Alikiba aliiridhisha Sony Music kwa kipaji na uwezo wakena kumchukua na kuwekeza kwake.
Ieleweke, kila label kubwa haichukui msanii ovyo na kumpa mkataba mkubwa hadi ijiridhishe na uwezo wake, coz kuna hela nyingi zitawekezwa kwa ajili yake, iwepo imani ya pesa kurudi.
Hivi ni nani anajua maendeleo ya ile deal ya Diamond na Rais wa zamani wa Def Jam? Ambaye aliunganishwa na JK mwaka juzi akiwa Marekani.
Miaka miwili sasa imepita sasa tangu wakutanishwe na bado mkataba haujasainiwa, maana yake bado kuna kazi ya kujiridhisha kama kuwekeza kwake kutaleta faida au lah? Hakuna kubebana katika label kubwa.
Kila mtu anayejua music kama shabiki wa kweli, anajua umuhimu wa kuwa na label itakayoshughulikia soko la nje ya maeneo unayoishia msanii husika.
Na ndio maana hata Diamond amesaini mkataba na Upfront & Personal ya Nigeria ambayo licha ya kutokuwa worldwide lakini sihaba endapo itamsaidia kupenya Nigeria.
Hata Chadema licha ya uimara wao katika siasa za upinzani, lakini walimchukua Lowassa aliyesaidia wafike ambako awali hawakuweza kufika na wakaichukua Arusha na Dar es Salaam kwa kishindo.
Watanzania tujifunze kuwapongeza wenzetu waliopata mambo mazuri, huu ujanja ujanja wa kukwepa kutoa pongezi na kuanza kupotosha mambo hakusaidii wala kumnyima aliyepata.
Ina nadhani kama wengi wetu tungepata muda wa kutazama live ile hafla na kusikia wahusika wa Sony walivyoongea kusingekuwa na upotoshaji huu.
Kupitia mkataba huu Alikiba atapata mambo mengi makubwa na mazuri.
Hongera Alikiba, Mungu anakupenda sana.
Ova
Mkuu hicho ulichoeleza kiko juu ya uwezo wake, sio rahisi akakuelewa. Otherwise umetoa angalizo zuri kwa ajili ya wengine kujifunza.Kuna ubaya gani nikimpongeza au Nina ugomvi nae gani??? Na kuna ubaya gani nikitoa angalizo ambalo labda linaweza kumsaidia msanii mwingine??? Ubaya unao uona wewe uko wapi???

Mkuu nakwambia ni wachache wanaweza kuzijibu hoja zako, wengi wataishia kukushambulia tu. Wape muda watakuja kukuelewa sometime in future.Its not a 'global deal'! Ila si unajua wabongo kwa kuongeza chumvi
Asante mkuu kwa kumuelewesha boldNadhani haikuwa busara kuwa na haraka ya kuuponda mkataba wa mtu kabla hujauona au kabla hujaona utekelezwaji wake.
Inawezekana wengi hawajui namna Sony Music inavyofanya kazi kwa wasanii, yenyewe pamoja na mambo mengine inashughulika zaidi na market ya product ya msanii.
Kila msanii aliye chini ya Sony Music anabaki na Management yake ya msingi pamoja na wao, kwa maana Alikiba kuendelea na Rocstar4000 huku akiwa na Sony Music.
Kama alivyo Drake aliye kwenye Sony Music lakini bado yuko na Management yake ya msingi ambayo ni Young Money.
Kingine ambacho nadhani wengi hawakuwa wakikifahamu ni kwamba Sony Music ina mikataba ya aina kadhaa, kulingana na uwezo wa msanii husika.
Ndio maana kila mkataba wanaosaini na msanii huwa ukitajwa jina lake kabisa, kwa hiyo unaweza kufuatilia wasanii hao na utaona tofauti hiyo.
Kuna mkataba ambao wao huwa hawajikiti sana katika maandalizi ya product na kubaki katika kutafutia soko kubwa zaidi product hiyo.
Na kuna mkataba wa pili wa kushiriki kuanzia maandalizi ya product ya msanii hadi kwenye kutafutia masoko.
Alikiba na AKA (Aliyeimba na Nassib) wote wako chini ya Sony Music ila mikataba yao inatofutiana, mkataba wa Alikiba unafanana kila kitu na mkataba wa Davido.
Ni mkataba unaoanzia katika maandalizi ya product ili kuipa thamani zaidi, pia kuwaunganisha wasanii wa label yao kufanya kazi za pamoja (collabo).
Katika hafla iliyofanyika February (kama sikosei) mwaka huu mjini Lagos wakati wa uzinduzi wa ofisi za Sony Music za Lagos, bosi wa Sony Music alisema kwa sasa wanajikita zaidi kwa soko na product za Afrika.
Na ndio maana hata hafla ya Alikiba kusaini nao mkataba kuwa kubwa sana na kuoneshwa live Africa nzima kwenye runinga na mtandaoni.
Naona hapa umetolewa mfano kwa kutaja wanamuziki wachache wenye mkataba na Sonny Music ambao kwa sasa wamefifia.
Lakini nashangaa haikusemwa kama karibu wasanii wote waliotajwa hapa waliyumba baada ya kuharibika kwa uhusiano wao na management zao za msingi.
Kama tatizo la Nakaaya lingekuwa ni Sony Music, basi tungekuwa tukimsikia hata hapa nchini. Ina maana hamjui kama tatizo la Nakaaya lilisababishwa na mgogoro wake wa mapenzi na bosi wa TBL?
Au kama ilivyo Destiny's Child ambao wako Sony Music lakini wamefifia baada ya kuyumba kwa management yao ya msingi iliyokuwa chini ya Mzee Knowles.
Ieleweke kwamba Sony Music ndio label kubwa kabisa ulimwenguni, ina wasanii toka mabara yote ulimwenguni na imetoa mafanikio makubwa kwa wasanii mbalimbali.
Na isidhaniwe kwamba kila msanii anaweza kuchukuliwa tu na label hii na kusimamiwa, wanaangalia uwezo ili kulinda hadhi ya Sony Music.
Kwa maana hiyo Alikiba aliiridhisha Sony Music kwa kipaji na uwezo wakena kumchukua na kuwekeza kwake.
Ieleweke, kila label kubwa haichukui msanii ovyo na kumpa mkataba mkubwa hadi ijiridhishe na uwezo wake, coz kuna hela nyingi zitawekezwa kwa ajili yake, iwepo imani ya pesa kurudi.
Hivi ni nani anajua maendeleo ya ile deal ya Diamond na Rais wa zamani wa Def Jam? Ambaye aliunganishwa na JK mwaka juzi akiwa Marekani.
Miaka miwili sasa imepita sasa tangu wakutanishwe na bado mkataba haujasainiwa, maana yake bado kuna kazi ya kujiridhisha kama kuwekeza kwake kutaleta faida au lah? Hakuna kubebana katika label kubwa.
Kila mtu anayejua music kama shabiki wa kweli, anajua umuhimu wa kuwa na label itakayoshughulikia soko la nje ya maeneo unayoishia msanii husika.
Na ndio maana hata Diamond amesaini mkataba na Upfront & Personal ya Nigeria ambayo licha ya kutokuwa worldwide lakini sihaba endapo itamsaidia kupenya Nigeria.
Hata Chadema licha ya uimara wao katika siasa za upinzani, lakini walimchukua Lowassa aliyesaidia wafike ambako awali hawakuweza kufika na wakaichukua Arusha na Dar es Salaam kwa kishindo.
Watanzania tujifunze kuwapongeza wenzetu waliopata mambo mazuri, huu ujanja ujanja wa kukwepa kutoa pongezi na kuanza kupotosha mambo hakusaidii wala kumnyima aliyepata.
Ina nadhani kama wengi wetu tungepata muda wa kutazama live ile hafla na kusikia wahusika wa Sony walivyoongea kusingekuwa na upotoshaji huu.
Kupitia mkataba huu Alikiba atapata mambo mengi makubwa na mazuri.
Hongera Alikiba, Mungu anakupenda sana.
Ova
Sasa huyo the bold ametoa mawazo mazuri sana vp mwampinga??MTU mwenye nia hutoa mawazo mazuri sio kuponda nimeona insta wamepoa hao ila d akisaini ni haki yake loh
Mkuu una lengo zuri sana la kutoa maelezo unayoyafahamu kuhusu Son ila unaowaeleza hawataki kuelewa ila wapo kwa kubishanaHii thread haijaandikwa kwa mahaba ya uteam yoyote ile!! Nimeongea uhalisia ulivyo
Yani kuna watu wanaelezwa vitu vya maana na wanavyojibu pumba nikisoma comments zao nacheka tuu watu wanamahaba hadi hawataki mtu fulani akosoleweWabongo inatubidi tubadilike sana tuwe na critical mind mleta mada kaleta kitu ambacho kinaweza kukusaidia kupanua ubongo wako kwa namna moja au nyingine critical questions ndo znaitajika hapa sio ushabiki tu mtapotea lakin najua hum tupo watu tofauti wenye uelewa tofauti ndo mana wengine kazi yao ni kuongea pumba tu siku iishe.
Pale mbongo anapoleta ujuaji hata kwa vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wake..acha kukariri ungeishia kumpongeza tu wala usingepungukiwa chochote ila umezunguka wewe ukikebehi kwa dili alilosaini afu unamalizia kwa kusema unampongeza si unafiki huo