Deal ya kutengeneza Business Cards

Deal ya kutengeneza Business Cards

anily

Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
22
Reaction score
2
Jaman, mtu anayedeal na kutengeneza business cards naomba anipm haraka. Ubora wa kazi na unafuu wa bei unazingatiwa!
 
Kalabx,huyu jamaa anafanya poa(bei+quality)

wapo kinondoni Studio,
mbele kidogo kama unaenda M'nyamala utaona bango
 
Ninaifanya, bei ni 25000 kwa 100pcs. Zikiwa nyingi punguzo lipo.

Piga 0713508100
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]wasiliana na Digitall 100pcs kwa 15,000/- only with lamination 25,000/= only


P O Box 22654 |Dar es Salaam

T : +255 (0) 22 212 9403
M : +255 (0) 783 47 4474
www.digitallservices.net

Our Services are But not Limited to :
Design and Printing of Posters, Magazines, News Letters, Annual Reports, PVC ID Cards, Business Cards, Letter Heads, Large Format, Brochures, folders, flyers, Training Materials, Invitation Cards, Stickers, Banners and much more..!!

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wasiliana na mtu anaitwa Daniel Manimba naamini kazi yake utaipenda 0713660067 au 0784660067
 
Back
Top Bottom