Dealer wa magari zanzibar anatafutwa

Dealer wa magari zanzibar anatafutwa

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
Wakuu,

Jamaa yangu anatafuta usafiri kwa matumiza ya kawaida na ameniomba nimsaidie kutafuta dealer wa magari aliyeko Zanzibar ili aweze kuwasialiana naye moja kwa moja na kununua magari yafuatayo:-
  1. EITHER TOYOTA KLUGER (Toyota Highlander), 4WD, Model TA-ACU20W, Engine 2AZ VVT-i, between 2000 - 2400cc, Year 2002/3 and above with low mileage. Preferably Black or silver colour with "Sport Body kit" OR NISSAN X-Trail, 2.0 Sport Auto, 4WD, iwe ya kuanzia mwak 2004 na kuendelea, with low mileage and excellent condition.
  2. TOYOTA IST F L EDITION, kuanzia mwaka 2002 kuja juu, 1300cc in excellent condition.
Kwenye namba (1) hapo juu ni kwamba kama akipata Kluger basi hatachukua X-Trail au kama akipata X-Trail basi hatachukua Kluger. Magari yote yawe BLACK/OR SILVER....or any other colour but not white

Kwa mwana JF anayemfahamu dealer aliyeko Zanzibar naomba anisaidie contacts niwasiliane naye.
 
Kuwa makini na wauza magari wa zanzibar kuna matapeli,kuna jamaa anaitwa cholo hatari sana,dar anatafutwa kwa utapeli
 
Kuwa makini na wauza magari wa zanzibar kuna matapeli,kuna jamaa anaitwa cholo hatari sana,dar anatafutwa kwa utapeli

Hilo ni kweli , muanzishaji tuwasiliane kwa PM naweza kukusaidia.
 
Mkuu umepata this is the best guy atakuletea kitu unachotaka uki ongea naye vizuri anakuagizia kwa pesa zake you just pay kidogo hadi umeliona na ku inspect gari lako ndo una mlipa

255 773 111163
255 787 489800
255 755 489800
 
Cholo na wengine nitawaepuka! Naombeni details hapa za ma-dealers wa uhakika!
 
pia uwe makini na ma agent wakutoa magari bandarini hapo dar kuna jamaa anaitwa ISSA keshatapeli wateja kibao,ni agent wa kampuni inaitwa Al kasri
 
Mkuu ninasababu za msingi,

Moja wapo ni kujua je huyu mtu yuko serious au anapoteza muda wangu.

Ngugu; ningekuwa siko serious nisingepoteza muda kuweka post hapa. Tunajaribu kupata urahisi badala ya kuagiza online gari amabayo umeiona kwa picha tu! Naamini dealers wengine wana aganents kule so atleast gari imekaguliwa na wawakilishi wao. Binafis JF imeshanisaidia sana kwa kuweka posts na immediately unapata support. So if you have details feel free to PM, nitawasiliana na muhusika!
 
Basi ndugu endelea tu nafikiri kuna watakaokusaidia kila la kheri.

Nilikuwapo!
 
Back
Top Bottom