Je kuna yeyote anayefahamu dealer wa pikipiki aina ya Sanlg ambaye ana hizo pikipiki kwenye website? Ningependa kuziangalia humo mtandaoni na kuona specifications tofauti. Natanguliza shukrani.
Asante mkuu na mm natafuta dealer hapa nchini niweze kununua kwa jumla kama pana mtu anajuwa mahala SANLG zinauzwa kwa bei ya biashara na sio ya ulanguzi na facilite za registration zote naomba msaada