Dean Smith hafai kuwa kocha wa Aston Villa; Angalia hii formation

Mwabhleja

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,351
Reaction score
2,061
1-4-4-1-1 si formation ya ushindi bali kukata tamaa.
Mabosi wa Aston Villa sijui kama wanaona kuna fursa ya kubakia ligi kuu au ndo wamekubaliana na hali.

Laiti kama timu ingekuwa na nia ya ushindi huku ikiwa na hofu ya kufungwa basi formation bora ingekuwa 1-4-4-2 au kama wangeamua wasifungwe mechi ya nyumbani walau wangecheza 1-5-4-2 kwa mantiki ya kuhakikisha viungo wa timu wanahakikisha mabeki hawachoki wala mawinga hawakabwi sana.

Kwa ndugu wenye weredi wa soka pasi na shaka mtakubaliana na mimi kwamba ndugu yetu Mbwana Samatta amekumbana na kocha mbovu sana!

Tunampenda Samatta lakini kocha wake anampenda zaidi!
 
Kwenye mfumo kipa huwa hapangwi kama ulivyoweka. But hapo ni 4411
 
Hujajua wewe..Sosha ana viungo hatari sana, ndio maana na yeye kaweka watu wengi hapo kati.
 
Aston Villa afungwe ili ashuke daraja.
 
Kila mechi yumo.na aingii nyavuni wala aassist na haonyeshi maajabu yeyote.
Mimi naona kocha hataki lawama za wabongo yeye atasema kashindwa mwenyewe ndugu yenu maana mechi alizo kaa bench ni chache na zote kaingia sub.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ NI bahati mbaya Samatta kaikuta ligi imeshakuwa moto,lkn NI mbaya mno kwa nafasi ya kukaribia "kushuka DARAJA" ninaamini muda pekee utakuwa mwamuzi wa kipaji chake kikubwa.....
 
[emoji3][emoji3][emoji3] NI bahati mbaya Samatta kaikuta ligi imeshakuwa moto,lkn NI mbaya mno kwa nafasi ya kukaribia "kushuka DARAJA" ninaamini muda pekee utakuwa mwamuzi wa kipaji chake kikubwa.....
Aston Villa wafungwe ili Samatta arudi tu huku bongo tupambane na vumbi letu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ NI bahati mbaya Samatta kaikuta ligi imeshakuwa moto,lkn NI mbaya mno kwa nafasi ya kukaribia "kushuka DARAJA" ninaamini muda pekee utakuwa mwamuzi wa kipaji chake kikubwa.....
Mkuu angalia na umri.alafu goma linakwenda championship huko ni kisanga kwelikweli.
Genk wanaweza kumuita tena au club yeyote ya ubelgiji maana kule wanamfahamu viruri sana.
 
Aston Villa wafungwe ili Samatta arudi tu huku bongo tupambane na vumbi letu.

Looh ndo Mana my fella Wale anasema WIVU wa hovyo haukai kwa mtu jasiri........πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu angalia na umri.alafu goma linakwenda championship huko ni kisanga kwelikweli.
Genk wanaweza kumuita tena au club yeyote ya ubelgiji maana kule wanamfahamu viruri sana.
Najua ni sabb za mpunga lkn hv unajua ni kwann ndg.yetu haku push aende Everton kwan walikuwa wanamtaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…