Dear all Non-EAC jf Viewers

Dear all Non-EAC jf Viewers

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Inevitably, we've been seeing many of you engaging in this forum just to get informed of what is happening in this eastern region of our Beautiful Continent.
This evidence suggests there are many jf viewers outside East Africa,
I'd like to welcome you all in this forum.

But just before joining, you need at least to know these things,

1.This is a SWAHILI dominated Forum,
You'll need to learn Kiswahili to enjoy this forum.
Kiswahili is the most popular language In East and Central Africa.
We will not write in English for you to understand, But you'll need to learn Swahili to understand us.

2. We've been taught to value things, Not pricetags,
So Respect first if you need to be respected.

3.Lastly, I welcome you all, Africa is Just one country,
Someone decided to draw boarders to separate us, let's keep teaching our kids to Unite each other and eventually reunite our Beautiful Continent.
I apologize for my poor English, Nimezaliwa Tanzania nikakuta Mama na Baba yangu wanazungumza Kihehe na Kiswahili, wakaniambia nijifunze Hii Lugha pia iliyokuja kwa Meli.

My God bless you all.

Truly,
Game Over.
 
non-eac JF viewers mkuu? 😀😀😀 more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
 
non-eac JF viewers mkuu? 😀😀😀 more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliopo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Mkuu ni kweli upo sahihi, waganda na wanyarwanda siwaoni humu. Nadhani sababu wao hawazungumzi sana kiswahili kama watanzania na wakenya, humu mijadala mingi inakuwa ya kiswahili. Utakuta kama huyu jamaa kaweka Thread kwa english lakini wengi huchangia kwa kiswahili hasa sisi watanzania.
 
Warwanda wapo humu sana tu
tena kitambo
murutongore mchambawima1
Labda aje jMali akuletee orodha, hii
Forums sio kama za Kikenya
Jf inatoa uhuru kwa kila mtu
hakuna ubaguzi na Umimi
 
non-eac JF viewers mkuu? 😀😀😀 more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Hahaa safi sana, jamaa yupo sahihi imagine ww ni msauzi alafu waswahili wamefurika nchini kwako kila sehemu w akidai wao na nyinyi ni wamoja[emoji3] ,kazi yao kubwa ikiwa kuuuza pipi na bange apo kitaa,alafu lugha zote za huko hawazijui wanaishia kupiga ze ze ze tu...aisee lazma watachezea kipigo tu..
 
Ongezea Hapo Kiswahili ni Lugha ya 10 kati ya zaidi ya Lugha 6000 Kuzungumzwa na watu wengi Duniani.
Hivyo Anaye kidharau Kiswahili huyo ni Mpumbavu sana
Ongezea pia
Kiswahili is the second (most-popular) spoken language after Arabic
 
Inevitably, we've been seeing many of you engaging in this forum just to get informed of what is happening in this eastern region of our Beautiful Continent.
This evidence suggests there are many jf viewers outside East Africa,
I'd like to welcome you all in this forum.

But just before joining, you need at least to know these things,

1.This is a SWAHILI dominated Forum,
You'll need to learn Kiswahili to enjoy this forum.
Kiswahili is the most popular language In East and Central Africa.
We will not write in English for you to understand, But you'll need to learn Swahili to understand us.

2. We've been taught to value things, Not pricetags,
So Respect first if you need to be respected.

3.Lastly, I welcome you all, Africa is Just one country,
Someone decided to draw boarders to separate us, let's keep teaching our kids to Unite each other and eventually reunite our Beautiful Continent.
I apologize for my poor English, Nimezaliwa Tanzania nikakuta Mama na Baba yangu wanazungumza Kihehe na Kiswahili, wakaniambia nijifunze Hii Lugha pia iliyokuja kwa Meli.

My God bless you all.

Truly,
Game Over.

"Many of you"? How many non- East Africans have u encountered here? I only know two.

To be frank, this forum site would have been more 'cosmopolitan', with users from all over the continent and beyond had English been the main language in use here. As long as it is Kiswahili, it will forever remain restricted to the East Africans.
 
non-eac JF viewers mkuu? 😀😀😀 more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Nimeona hii trend mkuu,
They are active users in here from Nigeria and SA,
Meaning this forum is being viewed Outside EAC.
 
Ndio maana mleta hoja katumia neno viewers sio kwa bahati mbaya. Kuna tofauti kati ya users na viewers, hatuwezi kujua wingi wao kwa sababu wanachungulia tu mara moja hawafanyi chochote. Hivyo basi huenda ni kweli kuna wengi wasio kuwa EA JF members ila wanatatizwa na lugha inayotumika.
 
non-eac JF viewers mkuu? 😀😀😀 more like non-eac JF users....ila wapo kweli non-eac members wengi? huwa siwaoni hata waganda na warwanda ama akina oga wa magharibi...karibuni kwa wale wachache waliomo humu JF...yule jamaa wa pretoria apate heshima yake lakini...jamaa kasema eti SA haiko africa na nchi za afrika zimelaaniwa...jamaa ana mambo yule!
Your English is limited hata viewers lipo grammatical correct kwani aliowalenga hawatumii JF sababu ya language barrier so the forum is not useful for them.

Wakenya Hamjui English wala Swahili mnajua tu kikikuyu mkiongea English lafudhi ya kijaluo au kikamba ni kichefuchefu
 
Back
Top Bottom