Shauri zako...Mimi nitakua wa mwisho kuamini kama hii ni couple ya ukweli..samahan kwa hili
nakweli shauri zangu...Shauri zako...
yes labda huyo...mm huyo siwez kbs ht kuchat naye mashenziniOhooo.... basi ngoja nimpe sweetlee hii nafasi adimu.
Mi na Sky Eclat tumebatizwa siku moja . Tena kwa moto.
Niko hapa Paracetamol ya ukweli...njoo tuyajenge mrembo.Wish u all the best
Wewe ni mdada naekupenda sana humu Jf.hunaga time Na mtu yaani
Ngoja Na Mimi nitafute paracetamol initulize
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko huku nakunywa mbege na kisusio. Nageuza kesho, nikupitie wapi?