Dear Controller and Auditor General (CAG), take note on this

Wandugu kwema humu

As I have always been following what is going around in connection to my whistleblowings,...... takukuru is at work. Therefore, be careful yourself (takukuru) cause there is big cash(imprest) that is being paid out and some high-level guys have been instructed to take money from their outside sources to ensure you are handled well with care (mnakirimiwa vizuri). And they will be refunded later.

I am also advising further to interrogate as many key staff as you can(broaden your scope) and in case you need any assistance from this corner I may help/suggest if you can share your emails with the PCCB domain in it.



Thanks
 
Account imefunguliwa jana
Mkuu peleka taarifa Takukuru au TISS wako kila kwenye ofisi za Mkuu wa Wilaya..
Hata hivyo Serikali hii sikivu imesikia hili
 
Mambo zenu



I have checked for the last two quarters and the recent one, I have also earmarked the internal audit plan…..there are some key people(should I mention their names) who have been exempted from the big deal procurement audit……

Just note that there are procurement projects of over 50bil, especially in southern parks and Serengeti …guys people are crunching the money through these projects.

I have also tried gathering some evidence of some tourists campsites and hotel sites allocation….it is so bad….soon or later I will drop things here.
 
jamani kuna jamaa wanakomalia huko tanapa kisa hii issue yangu hapa....naombeni ushauri namsaidiaje
 
this is the manifestation of corrupt country.hatuna pa kusemea kila kona ni rushwa,rushwa,rushwa.hii nchi ni ngumu sana.jawabu ni katiba tu ndiyo itakayotoa suluhisho la haya mambo.
 
Sana sana zitatumika kuonea watu wasiowapenda na zitawaruka wezi halisi.
We ndio umeongea, nakumbuka TAKUKURU waliofanya uchunguzi juu ya rushwa kwenye kura za maoni za CCM. Badala ya kuwafungulia kesi eti wanakabidhi ripoti kwa mwenyekiti wa CCM!! Yaani kosa la jinai linakua handled kisiasa. Ilipaswa wao wakikamata rushwa wafungue kesi sio kumpa bosi eti "aamue"!! Mwisho wa siku walikatwa tu ila hawakupelekwa mahakamani.

Hizi sheria haziwezi fanya kazi kama viongozi ndio Hawa wenye chuki. Utashangaa Lissu na Mbowe ndio wanapewa kesi za uhujumu uchumi ilihali hawana mafungu ya bajeti!! Kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…