Dear men and women, Age is not just a Number.

Hapa hamna atakayeelewaa, wanachezea vibinti vya watu alafu wakitaka kuoa wanatafuta wa age ya 26 kwenda juu wanadai ndo wana akil za maisha
 
Mwanaume mwenye akili hamwambii kua hana mpango wa kuoa moja kwa moja... Kwa kupitia hints mbalimbali unampa binti ujumbe. Unaeza sema "baada ya miaka sita michango ya harusi itakua imefanda!!! Afadhani watanichangia sana" au "yaani nna mpango wa kuoa nikiwa nimeshajenga nyumba na kununua gari" hapo huna ata baisikeli na unaishi kwenye chumba cha kupanga cha buku 20!!! [emoji23][emoji23][emoji23] mdada anapata tarifa tu kua hapa si pakutua mizigo. Ambae atashindwa kupata ujumbe atakua ki.la.za kweeli!!!
 
huwanga vile naogopa limbatwa, utakuta ushakaa na girl hadi mnafanana then uko bored naye ,unawaza nkimwambie vile sikutaki eeee..! ataniendea kwa witch bure ili kila analosema nasema yes

√√wadada nanyi mjifunze kusoma alama za nyakatii , mbona watoto wachanga mnajuanga kama anataka maziwa sa hiii, anataka Maji , kwa nn hii mahusiano?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mabinti wengi wanajisahau na kudhani umri umesimama,wakijashtuka inakua too late,nina mifano michache na mmoja unanihusu kabisa,Miaka 8 iliyopita nilikua na mpz na nilimpenda pamoja nilikua nikimzidi 10 year's wakati huo alikua 23y,nilivyoomba ndoa akadai muda wa kuolewa bado hataki kuzeeka [emoji23][emoji23][emoji23]nikaachana nae nikakamata fursa nyingine,hivi karibuni baada ya kuswampa sana kanifuata akiomba awe hata Suria ni hatareee.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una akili sana! huwa napenda kuwapa mabinti story za namna hii... halafu unapomsimulia anakutolea macho tukwa unyonge hata haongei, baada ua hapo hasira kila mara
 
We ndo umesema ukweli. Wanawake wengi ukisema umri ni factor kubwa katika mahusiano huwa wanabisha kwa kutotaka kukubaliana na ukweli. Na mara nyingi huweza kuona opportunity bula kukubali uhalisia. Kwahiyo wanawake wakubali kwamba muda wao kulinga ni mfupi. Wengi huja na hoja ya Diamond na Zari. Hili limewapoteza wengi. Jiulize hizo case za Diamond na Zari ziko ngapi? Ahsante kwa kuliweka bayana hili.
 
Mpaka inafikia hatua hiyo jua mdada umeshindwa kujiongeza. Hii haiwezi kuwa ghafla ila lazima kulikuwa na dalili katika mahusiano za kutopendwa ila ukashindwa kuziona kutokana na kudata kimapenzi.
 
Ujumbe mzuri, lakini mahondaw... Unadhani wanaume hawadanganywi ?
Wanaume wanadanganywa ila impact siyo kama ya kudanganywa mwanamke. Kama alivyosema wanawake wana kipindi kidogo cha kung'ara ila wanaume age si tatizo sana kama kwa wanawake maana hata wakidanganywa they always have another chance.
 
We kiboko..utakuwa umewasaidia wanaume wengi jinsi ya kujitoa kwenye mahusiano kidiplomasia
 
Shida.ni kwa hivi vibinti vinatung'ang'anja sana sisi wazee eti vinadai tunajua kutunza, ukikaambia mm ni mzee kana kuja na jibu hili.." una uzee gani wewe, wazee walishakufa...!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…