tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 64
Aisee..usinikumbushe mshahara bana, niko choka -mbaya!
Hapa nilipo mchana ndo unapita sijauona!..huh!
Kwetu wanasema ukiisubiria kwa hamu sufuria mototni ichemke, haichemki ng'oo!
Kauka wasije wakaghairi kuuingiza leo hawa...wakoloni si wema ati mamaake!

KAABUCHE IS THINKING, WE ANGALIA AVATAR YAKE, ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!, mwana mapinduzi huyo, sorry kwa kutoka nje ya maada