Dear wake zetu, kutokana na mvua kali hapa Dar, ma-HR kwenye ofisi tunazofanyia kazi wameomba tulale ofisini ili kuepusha bugdha;

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Dear wake zetu, kutokana na mvua kali hapa Dar, ma-HR kwenye ofisi tunazofanyia kazi wameomba tulale ofisini ili kuepusha bugdha;

Maazimio haya yameafikiwa na kila mwanachama wa chama cha waume za watu Tanzania (CHACHAWAZATA)

Huku wale waliojiajiri na wao wameomba walale kwenye biashara zao.

Imeletwa kwenu na Katibu wa Itikadi na uenezi wa chama.
Asanteni sana[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…