Dear Wema...

Wema is aged 30's now! Not 23! And ofcoz, kadanganya umri kwa sana tu!

Mimi sio mshabiki wa kitu chochote..but she's not 30...dadake wa pili yuko around 32 halafu kuna mwingine halafu ndio wema..ana mapungufu yake lakini kwa hili nakukatalia kaka..
 
maumivu yakizidi muone daktarii. Ha ha ha anawanyima usingizieee???na bado
 
Wema hawezi kuwa na umri wa miaka 23... ina maana alipata taji la Miss Tanzania akiwa na miaka 15 au 16?? Je masharti yanaruhusu washiriki wawe under 18??

Wema anadanganya umri wake.. watu wakijua yeye kijeba. hauzi tena...

na hayo ma-bleach na mchina.. atakufa mdogo sana.... unless abadilike amrudie Mungu..
 
maumivu yakizidi muone daktarii. Ha ha ha anawanyima usingizieee???na bado

hehhehe....nitueee...aninyime my precious ucngz KW MTONYO GANI LABDAAAA....!!?KWA LIPI HASAA...mtu mwenyewe MCHUBUA USO ana lipi jipya...mxxxy,...angalieni watu mnaowa'admire...
 
Wanaume ndo wanaomfanya ajione celeb, lakini hana umaarufu huo, mi sijui huo uzuri unatokea wapi , mbona wa kawaida tena hata mazombie wama afadhali...too artificial, too chinese....aggggh anachefua ukimwona kwa karibu na ile mishipa ya damu utadhami mnyoo...puuuuu

.....,.......

Btw, cha mtu, kinategemea ntu na ntu...
 
Wema is aged 30's now! Not 23! And ofcoz, kadanganya umri kwa sana tu!
I bet she'z 50!! Msichana/celebrity gani wa 23 anaogopa kuonyesha magoti na mapaja? Maxi dresses na suruali tu ndo anavaa cku hizi!! Loh! Nini anaficha??
 
Mimi sio mshabiki wa kitu chochote..but she's not 30...dadake wa pili yuko around 32 halafu kuna mwingine halafu ndio wema..ana mapungufu yake lakini kwa hili nakukatalia kaka..

Sasa kama halook like 23 tusemeje.? I can even say she's 40 kwa jinsi mwili wake unavyoporomoka kwa spidi!!
 
Jamani Nitampataje Peniel Mngilwa nataka nisnze kumkamua nimeuxa pamba yangu, so nikachukue mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…