Nakubaliana na wewe kabisa , kwani hawa usalama ndiyo wanaingia kila kona kujua kama business gani au kitu gani hakina masilahi kwa Taifa. Lakini hawa wa kwetu wanafikiri kuwa usalama ni jina tu na kupita mitaani kuoneshewa vidole mimi usalama , mimi usalama!!! To hell. They need to change the way they work. Hivi sasa tumeshawaonesha Taasisi zingine zilizoshaanza na michezo kama huo wa DECI, hadi leo sijasikia labda wakitangazia watu kuwa serikali inachunguza au imekubaliana nazo. Hizo ndizo kazi zinatakiwa sasa wafanye kabla watu hawajapoteza pesa zao kama hii.