Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Kwa kiswahili mkuu
??Yes! And if not, why not? And ask yourself where you started to hear these illusions? And if you believe that it's only illusions start to find the origin of these illussions and the point you got it you will be with answer in your hand.
proof?Why not?
uwepo wa ndoto unathibitisha aje kuwepo kwa Mungu na malaika?Uwepo Wa Malaika unathibitishwa na mambo mengi.
Jambo la kwanza ni uwepo wa ndoto.
how does your knowledge of me relate to the debate? anyway if you must know, I am a Nairobi dweller, male and curious...I question everything...I believe in philosophy and critical thinking....fair enough? please answer my questionFirst question first"Who are you"?
Inahusu, ukiuliza uwepo wa Mungu lazima ujiulize na kujitathmini wewe kwanza, umetoka wapi na unaenda wapi? Uwepo wako ni bahati mbaya? au ni mpango? Umezuka tu? au unayo asili? Ukipata jibu ndio utaona uhalisia wa uwepo wa spiritual beings.how does that relate to the debate?
oh yeah ur right...however, I dont understand why I am here...where i am going...what purpose do I serve....why was I created? I really dont know yet...I just got myself here...Inahusu, ukiuliza uwepo wa Mungu lazima ujiulize na kujitathmini wewe kwanza, umetoka wapi na unaenda wapi? Uwepo wako ni bahati mbaya? au ni mpango? Umezuka tu? au unayo asili? Ukipata jibu ndio utaona uhalisia wa uwepo wa spiritual beings.
Uwepo wetu unaenda sambamba sana na uwepo wa Mungu, ukitafakari katika mawazo madogo sana,Kwa kuangalia ubunifu wa mwanadamu ulivyo mzuri, kazi za mikono ya mwanadamu zinapendeza machoni, Teknolojia: simu, computer na gadgets za aina mbali mbali, magari mazuri mazuri, hivyo vyote ni ubunifu wa mwanadamu!! Mwanadamu anayo akili, anao utashi wa kuumba, Maana yake nini? Mwanadamu pia ameumbwa!! Angalia mpangilio wa viungo mbalimbali vya mwanadamu na kazi zake, hakika vimepangiliwa! havijazuka tu, Yuko aliyevipanga(kuvitengeneza) kama yeye(mwanadamu) alivyopanga vitu mbalimbali katika ubunifu na uumbaji wak.oh yeah ur right...however, I dont understand why I am here...where i am going...what purpose do I serve....why was I created? I really dont know yet...I just got myself here...
Nahitaji maoni yenu kwa jambo hili....Tangible answers only..no insults please...lets debate like grownups...present yur reasons with evidence...also, one more related question (wouldn't fit on the title): Do you think there is life after death?
Philosophy is the most complicated and difficult field of study. Jiulize maswali mengi kuhusu wapi ulianza kusikia hivi vitu vyote ulivyouliza na pia anza kutafuta wapi vilianzia katika kutafuta asili utapata majibu mengi ya mawali yako.
Mkuu ww unaonaje sasa au ni nn chanzo cha uhai wwte.pole ndugu....Mjadala: Je, unafikiri Mungu, malaika, shetani, vizuka na viumbe vingine vya kiroho vipo na kwa nini? majibu yanayoeleweka pekee..hakuna matusi tafadhali ...tujadili kama watu wazima... majibu yako yawe na ushahidi ... pia, swali lingine: Je, unafikiri kuna maisha baada ya kifo ?