Debenture Trustee - Ni sheria gani inayosimamia hili?

Debenture Trustee - Ni sheria gani inayosimamia hili?

ThnkingAloud

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
546
Reaction score
564
Wanabodi,

Kwa wanaofahamu namna ya kuhamasisha mitaji ya makampuni wanafahamu maana ya debentures. Kwa kiswahili inaitwa hati gani sijui..... Je ni sheria ipi inasimamia debenture trustee katika Tanzania? Ni makampuni gani wanafanya management of funds chini ya sheria ya debenture trustee?

Nawasilisha tafadhali.
 
Back
Top Bottom