Wanabodi,
Kwa wanaofahamu namna ya kuhamasisha mitaji ya makampuni wanafahamu maana ya debentures. Kwa kiswahili inaitwa hati gani sijui..... Je ni sheria ipi inasimamia debenture trustee katika Tanzania? Ni makampuni gani wanafanya management of funds chini ya sheria ya debenture trustee?
Nawasilisha tafadhali.