DEBT CRISIS: Kenya turning out to be East Africa's Greece

Hahahaha, mpe vidonge zake huyo Twiga wa Tsavo[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hivi hapa Afrika Mashariki nani ana uwezo wa kumbail out mwenzake? Yaani akope Kenya tulipe Tanzania? Hiyo Monetary Union ishakufa kabla hata haijaanza na wameiua wakenya!
 
Hivi hapa Afrika Mashariki nani ana uwezo wa kumbail out mwenzake? Yaani akope Kenya tulipe Tanzania? Hiyo Monetary Union ishakufa kabla hata haijaanza na wameiua wakenya!
Kama odds ziko vizuri why not we can help were we can. Tume kusanya $3.5b za kujenga SGR humu humu ndani without any outside help. Bailout inaweza kuja kwa njia tofauti including commodity exchange. Wakenya wana import number of goods from other EAC member states including food. Why not extend credit through food import.
 
Hivi unajua Kenya tuna deni ya around Ksh 4.5 trillion na Uchumi wenu ni somewhere between ksh 5 to 6 trillion. Hivi deni yetu iko karibu kutoshana na uchumi wenu wote, hivi mtawezaje kutukopesha? Hii data yangu sio 100% accurate, they are just approximate but I know you get the picture? Kama unamapingamizi, leta. Mtu yeyote anapingana na data yangu, leta yako tucompare. Otherwise, the statement remains, deni yetu iko karibu kutoshana na uchumi wenu.
 
Saa hii niko busy lakini nikipata nafasi nitaleta data yangu ili kusuport nilichosema. Hapa nasuport Cicero kwamba hamna nchi E. Africa inayoweza kubail out nyingine
 
Quarterly Economic and Budgetary Review First Half Financial Year 2017-2018 Period ending 31st December 2017

To close the debate, hio hapo juu ni quarterly economic and budgetary review 2017 of Government of Kenya. Page 18 inasema by Dec 2017, debt level was at ksh 4.5 trillion. Ndio hio data yangu, mwenye ana pingamizi, alete yake. Na si kwamba nasherehekea debt level ya Kenya, kwa sababu kulipa itakuwa shida, ila pia si kweli kuwa kuna nchi yoyote E. Africa inayoweza kutupea bail out money.
 
Kwanza nimeshindwa kuelewa point yako hapa, ninaomba uweke sawa ili tuweze kuchangia hii mada vizuri, lengo unataka kulinganisha deni lako na GDP ya Tanzania, au unataka kulinganisha GDP za hizi nchi mbili?
 
Kwanza nimeshindwa kuelewa point yako hapa, ninaomba uweke sawa ili tuweze kuchangia hii mada vizuri, lengo unataka kulinganisha deni lako na GDP ya Tanzania, au unataka kulinganisha GDP za hizi nchi mbili?
Nilikuwa najibu Mtanzania aliyesema kuwa mnaeza tupea bail out money. Nikasema kwamba deni yetu ni kubwa sana na hiyo itakuwa ngumu sana kwa nchi kama Tanzania. Anyway point. yangu ni eti hii deni ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…