Debt to GDP ratio globally Kenya is worse with 54%, Tanzania doing better with 37%

Mi najua tatu...hzo saba wazitaja wewe
Ndege mnazo nyingi Ila za Kenya zilikua tatu tu nikama watu mchange hela wakwanza sh3 kq wapili sh5 na watatu sh10 ndivyo ilivyo Kwa kq au ujui kq ni shirika mseto
 
Mi sizijui hzo..kq ina ndege tatu..hzo saba walizouza ni propaganda za mabeberu..
Kwn wewe ulizipata wapi hzo habari?
Ndege mnazo nyingi Ila za Kenya zilikua tatu tu nikama watu mchange hela wakwanza sh3 kq wapili sh5 na watatu sh10 ndivyo ilivyo Kwa kq au ujui kq ni shirika mseto
 
Heheee!!si huaga unaumia sana na kibera dogo la masaki[emoji1787][emoji1787] Inaonekana kunguni hawakukuacha salama[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Waziri wenu alitamka bungeni na wabunge Kwa ujumla kuna Uzi hata hapa jf kuusu tukio hilo la serikali yenu kukili kuwa na ndege tatu tu tena chakavu
Mi sizijui hzo..kq ina ndege tatu..hzo saba walizouza ni propaganda za mabeberu..
Kwn wewe ulizipata wapi hzo habari?
 
Heheee!!si huaga unaumia sana na kibera dogo la masaki[emoji1787][emoji1787]
Inaonekana kunguni hawakukuacha salama[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1787]
 
Sasa si ndo hzo tatu...nakushangaa unaniletea eti sijui saba zilifanywa nn..[emoji1787][emoji1787]
Waziri wenu alitamka bungeni na wabunge Kwa ujumla kuna Uzi hata hapa jf kuusu tukio hilo la serikali yenu kukili kuwa na ndege tatu tu tena chakavu
 
Watz tukikuta kunguni mwisho wa urafiki watz atuishi na kunguni na viriboto kama Nairobi na Mombasa watu hadi mafunza mnao
Heheee!!si huaga unaumia sana na kibera dogo la masaki[emoji1787][emoji1787]
Inaonekana kunguni hawakukuacha salama[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ndiyo uamini watz tumeendelea ingekuwa Nairobi watu wangesafiri bira shida na kusifia uzuri wa Gari maana ukiweza kuishi kibera suku ukipelekwa shimo la tewa unajiisi umefika hoterini kunajamaa wa kibera Ali hukumiwa jela miaka minne alipofikishwa jela baada ya week anawauliza wafungwa lini tutapekekwa jela mbona tunashikiliwa hapa week nzima wenzake wakamwambia hapa ndiyo jela jamaa alifurahi nakusema bora jera kuliko bibera
 
Asante kw povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…