Wema anasema hongera kaka platinumz !
Mara hii kishakuwa kaka, ha ha ha neno "x" kumbe halitumiki tena
hahahahaha noma sana
Daaah ilikuwa azibebe wema hizi jamani
Aisee!!wamependeza sana jamani!!Wema angekuwa yeye hapo pichani,nadhani waandishi watakua wanaulizana yule wa awali yupo wapi??hahaha kwa salsa ni mtu na Kaka yake
Aisee!!wamependeza sana jamani!!Wema angekuwa yeye hapo pichani,nadhani waandishi watakua wanaulizana yule wa awali yupo wapi??
Buha ha ha!!ila nmeskia mondi wenu kaimba na wifi ake Wema coz naye ni mwanamziki kwao!Heheeeeee kwa hiyo zari wifi wa wema
Buha ha ha!!ila nmeskia mondi wenu kaimba na wifi ake Wema coz naye ni mwanamziki kwao!
Huyu Zari Mzuri lakini tumbo hana !
Naona ana pingili kama za muwa !
hahahahaha noma sana
Mashavu sasa mkomavuuuuu
Mambo binamu? Nipoje busy hadi nasahau kazi yangu humu
Mashavu sasa mkomavuuuuu
hahaha Nasikia Wema kuna wimbo anafanya na chamillion soon utatoka!
haha wema anaenda na mimi nataka aende atanue network yake. huenda akapata meneja mzuri
Atanue network ya mabuzi eeee