Jamani nyie wataalam mnaejuajua mambo mbona mko kimya kuhusu pesa ambazo wananchi tumepoteza pesa kule deci,jamani deci mbona imefanya mbaya na hatuelezani kesi ilipofikia?hivi kwa sababu zipi jambo la deci liogopwe kama ugonjwa wa kimeta?au ndio kusema kuna kitu kimejificha mgongoni kwa deci?