Inawezekana kabisa. Kinachohitajika TV yako iwe na input zaidi ya moja. Kwa mfano dikoda ya kwanza unachomeka kwenye AV1-IN, na dikoda ya pili unachomeka kwenye AV2-IN. Au dikoda ya kwanza unachomeka kwenye AV IN na dikoda ya pili unachomeka kwenye HDMI.
Yeah, jaribu kuwashirikisha hawa dotcom kama wapo karibu hapo, hizo HDMI zinakuwa kuanzia 1 mpaka 3, kuna AV, kuna AUX n.k na hata dikoda moja kwa TV 2 pia sio issue isipokuwa utakuwa unaangalia channel moja kwenye TV zote.
Dikoda 3, home theatre 1, Head phones 1, PS 1, vyote unaunga tu kwa wakati mmoja na hakuna issue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.