Yeah, jaribu kuwashirikisha hawa dotcom kama wapo karibu hapo, hizo HDMI zinakuwa kuanzia 1 mpaka 3, kuna AV, kuna AUX n.k na hata dikoda moja kwa TV 2 pia sio issue isipokuwa utakuwa unaangalia channel moja kwenye TV zote.
Dikoda 3, home theatre 1, Head phones 1, PS 1, vyote unaunga tu kwa wakati mmoja na hakuna issue