Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

Hiyo ngumu ya elfu 25 anauziwa nani na wakati wateja wananunua king'amuzi na hawapewi ?
 
hahaha mmenikumbusha bwana home kwa bi mkubwa nimekuta remote ya king'amuzi washaitupa kwa hiyo wanatumia ya subwoofer inaingiliana na king'amuzi mwaka wa 3 huu no doubt
 
hahaha mmenikumbusha bwana home kwa bi mkubwa nimekuta remote ya king'amuzi washaitupa kwa hiyo wanatumia ya subwoofer inaingiliana na king'amuzi mwaka wa 3 huu no doubt
Kosa la uhujumi hilo
 
Naunga mkono hoja ila changamoto ni remote zao si kung'amuzi..mm kwa mwaka naweza nunua hadi mbili na unaweza bonyeza hadi vidole vikauma na kubonyea kabisa
 
Kinachowabeba Azam ni Ligi kuu tu zaidi ya hapo hawana cha maana.. Jambo la kwanza: ubora wa picha zao upo chini sana ''720p resolution'' sasa huu ndio ujinga gani halafu wanakwambia ni HD ikiwa tuko zama za 5G technology.. Jambo la Pili: mambo mengi 90% wamecopy DSTV.. Jambo la tatu: Tamthilia zao nyingi zina mlengo wa kueneza Dini ya kiislamu na kutangaza utalii wa nchi za kiislamu, kwasababu hizo nilizozitaja hapo juu nikijaga bongo sihangaiki na uchafu wa Azam TV... nawasha DSTV tu nakula contents za kila aina duniani kwenye ubora wa picha wenye kiwango cha juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…