Free country, but your rights are within the law.
Nakubaliana na wewe, kwanza kuanza kudeal na mtu mmoja mmoja ni kazi sana kuliko kudeal na Aljazeera as a single company.
Aljazeera hawana ofisi Tanzania, na sioni kama kuna njia ya kuzuiya mawimbi kutoka kwenye satelite yasije Tanzania!