DED ana Amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani?

DED ana Amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Wanasheria tusaidieni kujua kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (DED) ana amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani masaa 24.

Hata hivyo Kwa uzoefu wa Vijijini tulikokulima Watendaji Huwa wanawaweka watu ndani Kwa kutumia Migambo,Je sheria inawaruhusu?


My Take
Waziri tumechelewa sana kuonya

View: https://www.instagram.com/p/DE2gOF1P-1h/?igsh=Y200enpqbTFmeDU=
 
Hakuna kifungu kinachomruhusu mkurugenzi kumweka ndani mtumishi ispokuwa wanatumia ubabe
Kwa nini mtumishi ukubali kwenda ndani wakati sheria inakataa? Kwa nini usimshitaki huyo DED na Polisi waliokubali kutii amri haramu?
 
Back
Top Bottom