ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Huyu DED wa
Lakini hujanijibu hoja yangu iliyoko kwenye madaHuyu DED wa
Arusha ni mshamba tuu.halmashauri imejaa uozo,umeshindwa.
Makonda piga spana huyo kenge
Kwa nini mtumishi ukubali kwenda ndani wakati sheria inakataa? Kwa nini usimshitaki huyo DED na Polisi waliokubali kutii amri haramu?Hakuna kifungu kinachomruhusu mkurugenzi kumweka ndani mtumishi ispokuwa wanatumia ubabe