DED anapo kataa kupitisha kibali cha uhamisho NA KUFUNGA DATA SHEET

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Habari wanajamvi,

inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na baadaye mwajiri huyo akakuombea kibali Tamise kupitia kwa RAS, Katibu mkuu tamisemi anatoa kibali cha uhamisho wako na baadaye DED anakataa kupitisha kibali na kukufungia data sheet bila sababu zozote za msingi na ameng'ang'ania barua yangu.

je nifate utaratibu gani ili niweze kuhama naombeni ushauri wenu... JINA NIMEONA KWENYE LIST YA MAJINA YA TAMISEMI
 
Mambo yalivyo tafuta namba ya naibu waziri wa tamisemi akusaidie bila ya haposiku njema.
 
Fasta nenda kwa bosi wake akatumbuliwe hukooo
 
Siku hizi, standing orders hazifuatwi kabisa. Kila DED anaongoza kwa mizuka yake. Kiki ndio zinatrend
 
Je wenzio wamesainiwa? Au ni wewe pekee ndio hataki ku sign cha kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…