DED wa Gairo na wenzake warudisha mabati waliyoiba

Kitendo cha kurudisha hayo mabati tayari ni ushahidi tosha mahakamani kuwa hao watuhumiwa wamekiri kuwa waliiba na wameiraishia kazi mahakama. Kwa hiyo kama kweli wapo huru na wanaendelea na kazi basi ni vyema kuanzia sasa wale watuhumiwa wote waliopo magerezani nchi nzima kwa kesi za wizi na wao wapewe nafasi wale wenye uwezo wa kurudisha walivyoiba warudishe ili waachiwe huru.
 
Mwizi ni mkurugenzi aliyeteuliwa na CCM, mabati yaliyoibiwa ni ya serikali ya CCM. Yamerudishwa na mkurugenzi Hana kosa tena Yuko ofisini anachapa kazi.
 
Nasubiria tu report ya ukwapuaji wa tozo kwa Sandarusi pale BOT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ambavyo watu watagawana majasho ya wananchi na wakaendelea kupeta tu
 
Watu walioingia kwenye Madaraka kwa konekisheni kali ndiyo hao, hata wakichana mbeleko mamlaka zao zinashona na kuwabeba tena...ushenzi na ujinga. RIP JPM awamu hii ni ya 4 iliyojigeuza na kujiita 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…